Saturday, May 23, 2015

Penguin Internet Café iliyopo Soweto Mbeya njia panda ya Moon Dust Hotel Chumba Namba 3 karibu na Shololo Mobile Phone.

1. Kwa Wale wote wanaohitaji kuomba mkopo kupitia “Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu” yaani “Higher Education Students' Loans Board -HESLB” Kwa sasa Penguin Internet Café iliyopo Soweto Mbeya njia panda ya Moon Dust Hotel Chumba Namba 3 karibu na Shololo Mobile Phone.


Inaendelea kupokea wanafunzi wote wanaohitaji kujisajili kwa njia ya mtandao yaani “Online Loan Application and Management System” (OLAMS) usajili ulianza rasmi 4 May 2015 na Mwisho ni Tarehe 30 June 2015 ni kwa mjibu wa “Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu”



UNACHOTAKIWA KUKIFANYA


Ni lazima ulipie Tsh 30,000/= kwa njia ya M Pesa kupitia simu yako ya kiganjani kwa kubonyeza *150*00# baada ya hapo bonyeza namba 4 Lipa Kwa M Pesa halafu bonyeza namba 3 chagua kwenye orodha, bonyeza namba 8 huduma za elimu halafu bonyeza namba 2 utaona herufi hizi hapa HESLB Then bonyeza 1 weka namba ya akaunti baada ya hapo weka namba ya kumbukumbu ya malipo ambayo siku zote huwa ni namba yako ya kidato cha nne Mfano: S1258.0098.2012 baada ya hapo weka kiasi kama kawaida itakubidi uingize kiasi cha tsh 30,000/= utabonyeza 1 kuthibitisha au 2 kubatilisha.


Ndani ya dakika 1 au 2 utatumiwa Confirmation Code ya M pesa kutoka Vodacom ukijulishwa kuwa Mfano: BP87MC645 Imethibitishwa tsh 30,000 imetumwa kwa HESLB kwenye Akaunti Namba S1258.0098.2012 Tarehe 22/05/2015 PM salio lako la mpesa ni tsh 7,869.

Vitu vya msingi ambavyo unatakiwa kuwa navyo wakati wa usajili: Confirmation Code ya M pesa,Namba Yako Ya Kidato Cha Nne Na Sita ,jina la shule ya msingi uliyosoma kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba,kitambulisho cha kupigia kura,cheti cha kuzaliwa, passport ya kusafiria au kitambulisho cha taifa chochote kile kati ya hivyo hapo juu kwa mwanafunzi au mzazi ni lazima uwe nacho.


Tarehe,mwezi na mwaka uliozaliwa,mahali ulipozaliwa mkoa,wilaya,kata kijiji au mtaa pamoja na sanduku la posta. Barua pepe au E- mail address, nambari ya simu kwa ufupi hayo ndiyo mambo ya msingi ya kuzingatia mapema, kuna maswali mengi mengine unatakiwa kujibu wakati unafanya usajili.


Hatujaishia hapo PENGUIN INTERNET CAFÉ inaweza kukusajili ukiwa hukohuko mahali ulipo bila kufika ofisini kwetu jambo la kuzingatia ni lazima uwe na taarifa zako zote za msingi hapo ulipo na sehemu iwe sikivu ili tuweze kusikilizana vizuri na tutakupigia simu sisi wakati wa zoezi la usajili likiendelea baada ya hapo fomu yako ikiwa ipo tayari tutakutumia Username yako pamoja na Password ili uweze kuhakiki na kisha uiprint fomu yako kwa kutumia Colored Printer na utaweza kuiona pia kupitia Barua Pepe Yako.


Kwa leo tunaishia hapa. Kwa maswali, maoni pamoja na ushauri tafadhari usisite kuwasiliana nasi kwa simu

a) Nambari Landline 2502706 /Mobile phone 0713 395 950
b) Kwa barua pepe wasiliana nasi kupitia
mipecom@gmail.com,benitomhelela1@outlook.com
c) Nitafute pia kupitia Whats App Nambari hiyo hapo 0765 315 224
d) Unaweza kuni Follow pia Twitter kupitia @Smhelela
e) Ni Follow pia Instagram @Benito_Mhelela1
f) Ni check face book kupitia https://www.facebook.com/benito.mhelela
g) Skype username: benito.mhelela1


2. TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES (TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA.)
Lakini pia bila kusahau kwa wale wote ambao wanatokea ngazi ya RPL pamoja na wale wa ngazi ya DIPLOMA ,FTC & EQUIVALENT kumbuka ya kwamba usajili baado unaendelea na mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30 June 2015 kwa wa RPL tuu kwa mjibu wa Tume Ya Vyuo Vikuu Tanzania, ila kwa Diploma ,Ftc & Equivalent zoezi la usajili litakuwa baado linaendelea .


3. The National Council for Technical Education (NACTE) “Baraza La Taifa La Elimu Ya Ufundi”

(a) Pamoja na hayo yote tunaendelea kuwakumbusha wale wote ambao baado wanataka kufanya Application kupitia Nacte kwa wanaotaka ngazi ya Astashahada Au Stashahada ya afya “Diploma Or Certificate In Health” usajili baado unaendelea.

(b) Na kwa wanaomba kozi mbalimbali kwa ngazi za shahada usajili baado unaendelea.
KARIBUNI SANA.

Monday, May 18, 2015

Kwa Wale wote wanaohitaji kuomba mkopo kupitia “Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu” yaaani “Higher Education Students' Loans Board -HESLB” Kwa sasa PENGUIN INTERNET CAFÉ iliyopo Soweto Mbeya njia panda ya Moon Dust Hotel chumba namba 3 karibu na Shololo Mobile Phone.

1.    HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS BOARD -HESLB (Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu).

 Kwa Wale wote wanaohitaji kuomba mkopo kupitia  “Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu” yaaani  “Higher Education Students' Loans Board -HESLB” Kwa sasa PENGUIN INTERNET CAFÉ iliyopo Soweto Mbeya njia panda ya Moon Dust Hotel chumba namba 3 karibu na Shololo Mobile Phone.

Inaendelea kupokea wanafunzi wote wanaohitaji kujisajili kwa njia ya mtandao  yaani “Online Loan Application and Management System”  usajili ulianza rasmi 4 may 2015 na mwisho ni tarehe 30 june 2015 ni kwa mjibu wa “Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu”


2.  TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES (TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA.)

 Lakini pia bila kusahau kwa wale wote ambao wanatokea ngazi ya RPL  pamoja na wale wa ngazi ya DIPLOMA ,FTC & EQUIVALENT kumbuka ya kwamba usajili baado unaendelea na mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30 June 2015 kwa wa RPL tuu kwa mjibu wa Tume Ya Vyuo Vikuu Tanzania, ila kwa Diploma ,Ftc & Equivalent zoezi la usajili litakuwa baado linaendelea.

3. The National Council for Technical Education (NACTE) “Baraza La Taifa La Elimu Ya Ufundi”

(a)     Pamoja na hayo yote tunaendelea kuwakumbusha wale wote ambao baado wanataka kufanya application kupitia nacte kwa wanaotaka ngazi ya Astashahada Au Stashahada “Diploma Or Certificate In Health” usajili baado unaendelea.

(b)    Na kwa wanaomba kozi mbalimbali kwa ngazi za shahada usajili baado unaendelea,karibuni sana .

Kwa maswali, maoni pamoja na ushauri tafadhari usisite kuwasiliana nasi kwa simu

a)    Nambari Landline 2502706 /0713 395 950

b)    Kwa barua pepe wasiliana nasi kupitia
mipecom@gmail.com,benitomhelela1@outlook.com

c)    Nitafute pia kupitia Whats App Nambari hiyo hapo 0765 315 224

d)    Unaweza kuni Follow pia Twitter kupitia    @Smhelela

e)    Ni Follow pia kupitia Instagram     @Benito_Mhelela1

f)    Ni check pia facebook kupitia https://www.facebook.com/benito.mhelela1

Saturday, April 4, 2015

KENDRICK LAMAR ATHIBITISHA UHUSIANO WAKE NA MPENZI WAKE WA ZAMANI AMBAYE ALIKUWA



Kendrick Lamar athibitisha uhusiano wake Na mpenzi wake wa zamani ambaye alikuwa aki toka naye kimapenzi tangu walipokuwa high school lakini hivi sasa inasemekana wanampango wa kuoana rasmi.

Kendrick Lamar's  ambaye hivi sasa album yake ya To Pimp a Butterfly  inaendelea kusumbua kwenye   Billboard chati  200 kwa zaidi ya wiki ya pili sasa , lakini rapper huyo kutoka mjini Compton mapema jana alizungumzia kuhusiana na uhusiano wake na mkewe mtaarajiwa Whitney Alford  kwamba si habari  mbaya mahusiano yao yakiwekwa bayana nafikiri ni habari njema  katika maisha yangu . Kendrick Lamar‘s alijikuta amezama kwenye penzi la mtoto Whitney Alford msichana ambaye walisoma wote enzi hizo tangu wakiwa high school.
Kendrick amethibitisha hayo alipokuwa akihojiwa na kituo cha radio kwenye kipindi cha breakfast  club jana asubuhi jijini New York , mtangazaji wa kipindi hicho alimuuliza swali Kendrick lamar jee  ni kweli kuna uhusiano wowote uliopo kati yake yeye na Whitney Alford akajibu ni kweli sio siri tena nafikiri unafahamu hilo, Kendrick lamar akamaliza kwa kusema “I'm loyal to the soil” Na hatimaye siku ya mwisho tunataka watu wafahamu kwamba kumbe tunaishi na watu wenye malengo haijalishi ni mwanaume au ni mwanamke jamii yote inayokuzunguka inapaswa kufahamu hilo.

Lakini ikumbukwe kuwa Kendrick amewahi kuhojiwa mwezi January na mmoja wanao host kipindi cha Billboard na kuulizwa swali kuhusu Whitney Alford je ni mpenzi wake au raha? kwa bahati mbaya au nzuri alikataa kata kata alisema ni rafiki yangu  wakike hakuna kingine zaidi ya hicho.  Naweza sema ni rafiki yangu tulifahamiana tukiwa wote shuleni kwa namna nyingine naweza kumuita ni zaidi ya rafiki.


Jina lake halisi anaitwa Kendrick Lamar Duckworth alizaliwa tarehe 17 mwezi june mwaka 1987 anafahamika kama   Kendrick Lamar, ni msanii wa miondoko ya HipHop akitokea mjini Compton, jijini California. Mwaka 2004, Lamar alisaini mkataba na kuwa chini ya label ya   Top Dawg Entertainment (TDE).  Baadaye tena Lamar alisaini mkataba na studio mbili tofauti hii ilikuwa mwaka   2012, pale ambapo aliingia rasmi kwenye studio za Aftermath na Interscope Records.  
Ukiachana na kazi yake ya mziki, Lamar  amewahi kuwa  mwanachama wa kundi la Black Hippy na baadaye kundi hilo kuitwa Super Group  kipindi hicho akiwa baado mdogo kundi hilo lilifahamika sana na kujipatia umaarufu kote duniani.
kwa maelezo yake anasema Super Group  ni kundi ambalo lina wasanii wa hiphop wanaotokea  kwenye ukanda wa Magharibi Na Kusini Mwa Los Angeles wasanii wote walikuwa chini ya label ya  Top Dawg Entertainment {TDE} hakuwa pekee yake bali alikuwa na wasanii wenzake kama vile  Schoolboy Q, Jay Rock, na  Ab-Soul.


Umaarufu wake na kazi zake  ndiyo zilizomfanya akutane na wasanii wakongwe wa Hip Hop kutoka nchini marekani na hatimaye aliweza kufanya nao kazi mbali mbali  miongoni wa wasanii hao ni  Dr. Dre, The Game, Eminem, Drake, Young Jeezy, Talib Kweli, Busta Rhymes, E-40, Warren G, na  Lil Wayne ndipo alipoanza kuona soko la muziki  wa Hip Hop jinsi lilivyo na unatakiwa kufanya nini ili uweze kuyafikia malengo yako.

kingine kipya fahamu ya kwamba album iliyomtoa Lamar's kwenye mziki ni ile ya , Good Kid, M.A.A.D City, aliyoiachia rasmi  October mwaka 2012 na kusambazwa duniani kote. Album hiyo ilikuwa na zile nyimbo kali ambazo zilipata nafasi ya kuingia kwenye orodha ya Top 40 hits miongoni mwa nyimbo hizo ni  "Swimming Pools (Drank)", "Bitch, Don't Kill My Vibe", na ile ya  "Poetic Justice".  Baada ya kuachia album hiyo ilipewa shavu na kushika nafasi ya pili kwenye US Billboard 200 chart na baadaye iliweza kuthibitishwa na hatimaye kuwa  miongoni mwa album ambazo zimeingia kwenye orodha ya Platinum kwa mjibu wa (RIAA).

Album yake ya kwanza kutoka ilikuwa ni Youngest Head Nigga In Charge mwaka 2003, ikifuatiwa na C4 mwaka 2009, ikaja Overly Dedicated mwaka 2010, Section mwaka 2011 lakini zilizo hit na kutikisa vituo vya luninga na vituo vya radio ni ile ya Good Kid M.A.A.D City ya mwaka 2012 na hii mpya ya To Pimp A Butterfly aliyoitoa mapema mwezi march mwaka huu wa 2015.

Mapema mwaka  2013 kituo kikubwa na maarufu cha luninga  cha MTV Base kilimtunuku Kendrick Lamar kuwa msanii chipukisi namba moja kwenye mziki wa hip hop na   kwenye tuzo za MTV orodha ya awali inadhihirisha Lamar amepokea jumla ya tuzo saba  za Grammy  katika kinyang’anyiro hicho akiwa kama  Best New Artist, Album of the Year na  Best Rap Song hiyo ilikuwa mwaka 2014. Na mwaka 2015 aliweza kushinda tuzo 2 ambazo ni  A Best Rap Performance na  Best Rap Song for his single.

Saturday, January 24, 2015

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete Amefanya Mabadiliko La Baraza La Mawaziri

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete Amefanya Mabadiliko La Baraza La Mawaziri Kwa Kuwateua Mawaziri Wapya Wanane Na Manaibu Waziri Watano.

Akitangaza Mabadiliko hayo Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema wapya waliongia katika Baraza hilo ni Anne Kilango Malecela na Charles Mwijage.

Mara baada ya kutangazwa, Mawaziri hao wameapishwa na Rais Jakaya Kikwete ambapo wameapa kuzitumikia nyazifa zao mpya kwa uaminifu na kuilinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano.

MABADILIKO HAYO YAKO KAMA IFUATAVYO:-

George Simbachawene aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ameteuliwa kuwa kuwa Waziri wa Nishati na Madini.

Mary Nagu aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu).

Eng. Christopher Chiza aliyekuwa Waziri Kilimo, Chakula na Ushirika ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji).

Dkt Harrison Mwakyembe aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi ameteuliwa kuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Wiliam Lukuvi aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge) ameteuliwa kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Stephen Wasira aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais , (Mahusiano na Uratibu) ameteuliwa kuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika.

Samuel Sitta aliyekuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ameteuliwa kuwa Waziri wa Uchukuzi.

Jenister Mhagama aliyekuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge)

Stephen Maselle aliyekuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini ameteuliwa kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira)

Angela Kairuki aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ameteuliwa kuwa Naibu Waziri Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Ummy Mwalimu aliyekuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria.

Anne Kilango Malecela mbunge wa Same Mashariki ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

Charles Mwijage Mbunge wa Muleba Kaskazini ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Mad
ini

Thursday, January 22, 2015

WhatsApp sasa kupatikana katika kompyuta


Huduma maarufu ya kutumiana ujumbe kwenye WhatsApp imefanywa iweze kupatikana kwenye mitandao ya intaneti (web browsers-kivinjari) kwa mara ya kwanza.



Jan Koum, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, alitoa tangazo hilo kwenye ukurasa wake wa Facebook.


“Wateja, mtandao wetu umepanuka kwenye simu yako; mazungumzo na ujumbe wa kwenye mitandao ya intaneti kutoka kwenye simu zenu- ina maana ujumbe wenu wote utakuwa kwenye simu,” aliandika.





Watumiaji wa simu za kisasa ambao wanatamani kutumia intaneti l https://web.whatsapp.comazima watembelee kwenye;
 https://web.whatsapp.com

Hatahivyo, mteja hatanufaika sana, kama mteja wa simu lazima abakie kwenye mtandao wa intaneti ili programu hiyo ifanye kazi kwenye kompyuta.

Kwa sasa WhatsApp ina watumiaji milioni 700 na hutuma ujume bilioni 30 kwa siku, ni kubwa kuliko washindani wake, ikiwemo Facebook Messenger na We Chat.



SEX WITH THE WOMAN ON TOP IS THE MOST DANGEROUS POSITION FOR MEN, SAY SCIENTISTS - BUT HAVING HIM ON TOP IS THE SAFEST


 
Having a woman on top isn't quite the wild ride most men might have imagined.
Scientists have learned that the 'woman on top' or 'cowgirl' position is the most dangerous one for men to engage in during sexual intercourse.



According to new research, the risky position is to blame for half of all penile fractures that occur during sex. In comparison, 'doggy style' or the woman on all fours is responsible for 29per cent of injuries, while 'man on top' or 'missionary' is only liable for 21per cent. 




In the study published in Advances in Urology, researchers hypothesized that a man is prohibited from quickly stopping a painful movements when a woman has her entire body weight on his erect penis.
However, if the man is in control, he has a better chance of minimizing injury by disengaging in harmful movements as soon as they happen.


Of the 44 suspected penile fractures studied in three hospitals in Campinas, Brazil over the course of 13 years, 42 cases were confirmed - and evaluated in order to discover what the initial cause was.
Twenty-eight of the men were having heterosexual intercourse during the time of injury, while six of the subjects were engaging in 'penile manipulation'. 
Four were participating in homesexual intercourse, and it was deemed to be 'unclear' how the final four men had sustained their injuries.





Half of the patients who participated in the study heard a crack when they were first injured, followed by swelling and pain, while two of the men actually developed erectile dysfunction following the injury.



But before you swear off your favorite position remember that penile fractures are rare.
The researchers describe the injury as being a 'relatively uncommon clinical condition that frequently causes fear and embarrassment for the patient'. 
Despite the awkward nature of the injury, men should seeks a professional opinion as soon as they feel pain. 



According to the study, a delayed search for medical assistance following a penile fracture can 'lead to impairment of sexual and voiding functions'.