1. HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS BOARD -HESLB (Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu).
Kwa Wale wote wanaohitaji kuomba mkopo kupitia “Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu” yaaani “Higher Education Students' Loans Board -HESLB” Kwa sasa PENGUIN INTERNET CAFÉ iliyopo Soweto Mbeya njia panda ya Moon Dust Hotel chumba namba 3 karibu na Shololo Mobile Phone.
Inaendelea kupokea wanafunzi wote wanaohitaji kujisajili kwa njia ya mtandao yaani “Online Loan Application and Management System” usajili ulianza rasmi 4 may 2015 na mwisho ni tarehe 30 june 2015 ni kwa mjibu wa “Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu”
2. TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES (TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA.)
Lakini pia bila kusahau kwa wale wote ambao wanatokea ngazi ya RPL pamoja na wale wa ngazi ya DIPLOMA ,FTC & EQUIVALENT kumbuka ya kwamba usajili baado unaendelea na mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30 June 2015 kwa wa RPL tuu kwa mjibu wa Tume Ya Vyuo Vikuu Tanzania, ila kwa Diploma ,Ftc & Equivalent zoezi la usajili litakuwa baado linaendelea.
3. The National Council for Technical Education (NACTE) “Baraza La Taifa La Elimu Ya Ufundi”
(a) Pamoja na hayo yote tunaendelea kuwakumbusha wale wote ambao baado wanataka kufanya application kupitia nacte kwa wanaotaka ngazi ya Astashahada Au Stashahada “Diploma Or Certificate In Health” usajili baado unaendelea.
(b) Na kwa wanaomba kozi mbalimbali kwa ngazi za shahada usajili baado unaendelea,karibuni sana .
Kwa maswali, maoni pamoja na ushauri tafadhari usisite kuwasiliana nasi kwa simu
a) Nambari Landline 2502706 /0713 395 950
b) Kwa barua pepe wasiliana nasi kupitia
mipecom@gmail.com,benitomhelela1@outlook.com
c) Nitafute pia kupitia Whats App Nambari hiyo hapo 0765 315 224
d) Unaweza kuni Follow pia Twitter kupitia @Smhelela
e) Ni Follow pia kupitia Instagram @Benito_Mhelela1
f) Ni check pia facebook kupitia https://www.facebook.com/benito.mhelela1
Computer Repairing, Sales Computer, Networking Computer, Website Designing, Computer Software Installation, Internet Service, Scanning, Printing, Fax, Social Network Issues Face Book, Skype, Twitter, Hotmail, Viber, Instagram, Badoo, WhatsApp, Google And Yahoo. Contact with me +255765315224/+255713395950 E-mail address benitomhelela@yahoo.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment