Computer Repairing, Sales Computer, Networking Computer, Website Designing, Computer Software Installation, Internet Service, Scanning, Printing, Fax, Social Network Issues Face Book, Skype, Twitter, Hotmail, Viber, Instagram, Badoo, WhatsApp, Google And Yahoo. Contact with me +255765315224/+255713395950 E-mail address benitomhelela@yahoo.com
Thursday, January 22, 2015
WhatsApp sasa kupatikana katika kompyuta
Huduma maarufu ya kutumiana ujumbe kwenye WhatsApp imefanywa iweze kupatikana kwenye mitandao ya intaneti (web browsers-kivinjari) kwa mara ya kwanza.
Jan Koum, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, alitoa tangazo hilo kwenye ukurasa wake wa Facebook.
“Wateja, mtandao wetu umepanuka kwenye simu yako; mazungumzo na ujumbe wa kwenye mitandao ya intaneti kutoka kwenye simu zenu- ina maana ujumbe wenu wote utakuwa kwenye simu,” aliandika.
Watumiaji wa simu za kisasa ambao wanatamani kutumia intaneti l https://web.whatsapp.comazima watembelee kwenye;
https://web.whatsapp.com
Hatahivyo, mteja hatanufaika sana, kama mteja wa simu lazima abakie kwenye mtandao wa intaneti ili programu hiyo ifanye kazi kwenye kompyuta.
Kwa sasa WhatsApp ina watumiaji milioni 700 na hutuma ujume bilioni 30 kwa siku, ni kubwa kuliko washindani wake, ikiwemo Facebook Messenger na We Chat.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment