Saturday, May 23, 2015

Penguin Internet Café iliyopo Soweto Mbeya njia panda ya Moon Dust Hotel Chumba Namba 3 karibu na Shololo Mobile Phone.

1. Kwa Wale wote wanaohitaji kuomba mkopo kupitia “Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu” yaani “Higher Education Students' Loans Board -HESLB” Kwa sasa Penguin Internet Café iliyopo Soweto Mbeya njia panda ya Moon Dust Hotel Chumba Namba 3 karibu na Shololo Mobile Phone.


Inaendelea kupokea wanafunzi wote wanaohitaji kujisajili kwa njia ya mtandao yaani “Online Loan Application and Management System” (OLAMS) usajili ulianza rasmi 4 May 2015 na Mwisho ni Tarehe 30 June 2015 ni kwa mjibu wa “Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu”



UNACHOTAKIWA KUKIFANYA


Ni lazima ulipie Tsh 30,000/= kwa njia ya M Pesa kupitia simu yako ya kiganjani kwa kubonyeza *150*00# baada ya hapo bonyeza namba 4 Lipa Kwa M Pesa halafu bonyeza namba 3 chagua kwenye orodha, bonyeza namba 8 huduma za elimu halafu bonyeza namba 2 utaona herufi hizi hapa HESLB Then bonyeza 1 weka namba ya akaunti baada ya hapo weka namba ya kumbukumbu ya malipo ambayo siku zote huwa ni namba yako ya kidato cha nne Mfano: S1258.0098.2012 baada ya hapo weka kiasi kama kawaida itakubidi uingize kiasi cha tsh 30,000/= utabonyeza 1 kuthibitisha au 2 kubatilisha.


Ndani ya dakika 1 au 2 utatumiwa Confirmation Code ya M pesa kutoka Vodacom ukijulishwa kuwa Mfano: BP87MC645 Imethibitishwa tsh 30,000 imetumwa kwa HESLB kwenye Akaunti Namba S1258.0098.2012 Tarehe 22/05/2015 PM salio lako la mpesa ni tsh 7,869.

Vitu vya msingi ambavyo unatakiwa kuwa navyo wakati wa usajili: Confirmation Code ya M pesa,Namba Yako Ya Kidato Cha Nne Na Sita ,jina la shule ya msingi uliyosoma kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba,kitambulisho cha kupigia kura,cheti cha kuzaliwa, passport ya kusafiria au kitambulisho cha taifa chochote kile kati ya hivyo hapo juu kwa mwanafunzi au mzazi ni lazima uwe nacho.


Tarehe,mwezi na mwaka uliozaliwa,mahali ulipozaliwa mkoa,wilaya,kata kijiji au mtaa pamoja na sanduku la posta. Barua pepe au E- mail address, nambari ya simu kwa ufupi hayo ndiyo mambo ya msingi ya kuzingatia mapema, kuna maswali mengi mengine unatakiwa kujibu wakati unafanya usajili.


Hatujaishia hapo PENGUIN INTERNET CAFÉ inaweza kukusajili ukiwa hukohuko mahali ulipo bila kufika ofisini kwetu jambo la kuzingatia ni lazima uwe na taarifa zako zote za msingi hapo ulipo na sehemu iwe sikivu ili tuweze kusikilizana vizuri na tutakupigia simu sisi wakati wa zoezi la usajili likiendelea baada ya hapo fomu yako ikiwa ipo tayari tutakutumia Username yako pamoja na Password ili uweze kuhakiki na kisha uiprint fomu yako kwa kutumia Colored Printer na utaweza kuiona pia kupitia Barua Pepe Yako.


Kwa leo tunaishia hapa. Kwa maswali, maoni pamoja na ushauri tafadhari usisite kuwasiliana nasi kwa simu

a) Nambari Landline 2502706 /Mobile phone 0713 395 950
b) Kwa barua pepe wasiliana nasi kupitia
mipecom@gmail.com,benitomhelela1@outlook.com
c) Nitafute pia kupitia Whats App Nambari hiyo hapo 0765 315 224
d) Unaweza kuni Follow pia Twitter kupitia @Smhelela
e) Ni Follow pia Instagram @Benito_Mhelela1
f) Ni check face book kupitia https://www.facebook.com/benito.mhelela
g) Skype username: benito.mhelela1


2. TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES (TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA.)
Lakini pia bila kusahau kwa wale wote ambao wanatokea ngazi ya RPL pamoja na wale wa ngazi ya DIPLOMA ,FTC & EQUIVALENT kumbuka ya kwamba usajili baado unaendelea na mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30 June 2015 kwa wa RPL tuu kwa mjibu wa Tume Ya Vyuo Vikuu Tanzania, ila kwa Diploma ,Ftc & Equivalent zoezi la usajili litakuwa baado linaendelea .


3. The National Council for Technical Education (NACTE) “Baraza La Taifa La Elimu Ya Ufundi”

(a) Pamoja na hayo yote tunaendelea kuwakumbusha wale wote ambao baado wanataka kufanya Application kupitia Nacte kwa wanaotaka ngazi ya Astashahada Au Stashahada ya afya “Diploma Or Certificate In Health” usajili baado unaendelea.

(b) Na kwa wanaomba kozi mbalimbali kwa ngazi za shahada usajili baado unaendelea.
KARIBUNI SANA.

No comments:

Post a Comment