Ndani ya ofisi yetu mpya maeneo ya soweto mbeya karibu sana |
Mteja akiwa tayari ameshapata huduma yake baada ya hapo amepumzika na hatimaye kuanza kusoma baadhi ya magazeti ya hapa nchini moja wapo ni gazeti la mwana sport hilo. |
Ndani ya chumba cha ofisi kwa juu kidogo tumefunga fan kwa ajiri ya kupata upepo mwanana kama umechoka au raha una pulizwa kwa umbali bila shaka utafurahia sana huduma zetu. |
Huyu ni jirani yetu yeye amewekeza kwenye huduma za stationery alikuwa akipata somo moja wapo ambalo lilikuwa likitolewa na mmoja wa wafanyakazi wetu kuhusu utumiaji wa huduma za internet. |
PEMBEZONI MWA UKUTA UPANDE WA KULIA KWA UMBALI TUKIWA KWENYE UKARABATI ILI TUWEZE KWENDA NA WAKATI. |
PEMBEZONI MWA UKUTA UPANDE WA KUSHOTO KWA UMBALI TUKIWA KWENYE UKARABATI ILI TUWEZE KWENDA NA WAKATI. |
Mitambo yote imefungwa hapo ili kuweza kuhakikisha kuwa kila kitu kinaenda sawa kabisa Kwa umbali unaona D-LINK, kuna baadhi ya Modem,Printers na scanner. |
https://www.facebook.com/pages/Penguin-Computers-mbeya-City/481128545275389 |
Mimi huyo Benito Ernest Mhelela nikiwa nimekula zangu pozi baada ya shughuri ya siku nzima twa mshukuru mwenyezi mungu kwa sababu bado yupo nasi kwa jambo sema Ameni.https://www.facebook.com/benito.mhelela1 |
Description Computer Repairing ,COMPUTER NETWORKING,COMPUTER SALES,WEBSITE DESIGNING ,COMPUTER SOFTWARE INSTALLATION,INTERNET SERVICE,SCANNING,PRINTING,FAX,FACE BOOK,SKYPE,TWITTER,GOOGLE AND YAHOO. |
Description
COMPUTER
REPAIRING ,COMPUTER NETWORKING,COMPUTER SALES,WEBSITE DESIGNING
,COMPUTER SOFTWARE INSTALLATION,INTERNET
SERVICE,SCANNING,PRINTING,FAX,FACE BOOK,SKYPE,TWITTER,GOOGLE AND YAHOO. |
No comments:
Post a Comment