Sunday, February 9, 2014

USAJIRI KWA WALE WOTE WANAORUDIA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE NA CHA PILI MWAKA 2014


Habari njema kwa wateja wote wa penguin computers Ltd mbeya and internet services kuanzia tupo katika ahatua za mwisho wa kuendelea na usajiri wa wanafunzi wanao risiti kidato pili na cha nne kwa mwaka 2014 tunaendelea na usajiri kwa njia ya mtandao( online registration) kwa bei nzuri kabisa.


Unachotakiwa kukifanya ni kuleta picha yako moja ya passport size, majina yako matatu likiwemo lako,la baba na la ukoo, Reference number kutoka Baraza la Mtihani Tanzania( NECTA), RECEIPT NUMBER KUTOKA POSTER, BARUA PEPE YAKO,NAMBA YA SIMU, MAHALI UNAKO ISHI,SANDUKU LA POSTA, TAREHE YA KUZALIWA MWEZI PAMOJA NA MWAKA.

No comments:

Post a Comment